Matatizo ya Subaru

Matatizo Makuu ya Subaru Subaru kama magari mengine ina matatizo machache yanayorekebishika ambayo hujitokeza mara kwa mara kutokana na utengenezaji kutoka kiwandani au hali ya matumizi ya mtu binafsi. Matatizo haya hujumuisha Kuvujisha na Kuchoma Oil Kuvuja kwa oil kwenye magari aina ya su...