Subaru

Subaru ni kampuni ya Kijapani inayotengeneza magari aina ya Subaru na vifaa mbalimbali. Inajulikana hasa kwa utengenezaji wa magari aina ya Legacy, Forester, Impreza na mengineyo. Subaru ni kampuni mashuhuri duniani kwa sababu wanatengeneza magari yanayosukuma tairi zote na kutumia injini bapa inayo...